SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili13. Nov. · 16 Min.

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS13. Nov.16 Min.

Serikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa mpango wa AUKUS.