
← SBS Swahili - SBS SwahiliNeu · 14 Min.
What are feral and invasive animals in Australia? - Australia Yafafanuliwa: Je, ni wanyama gani wa porini na wanyama vamizi nchini Australia?
What are feral and invasive animals in Australia? - Australia Yafafanuliwa: Je, ni wanyama gani wa porini na wanyama vamizi nchini Australia?
Feral and invasive animal species are causing significant damage to Australia’s environment and threaten the existence of many native wildlife species. In this episode of Australia Explained learn about feral and invasive animal species in Australia and what is being done to control them. - Aina ya wanyama wa porini walioachwa huru na wale vamizi wanasababisha uharibifu mkubwa kwa mazingira ya Australia na kutishia kuwepo kwa spishi nyingi za wanyama asilia. Katika kipindi hiki cha *Australia Explained*, jifunze kuhusu wanyama hawa wa porini walioachwa huru na wale vamizi nchini Australia, pamoja na hatua zinazochukuliwa kuwadhibiti.