SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahiliil y a 4 jours · 7 min

Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRC

Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRCil y a 4 jours7 min

Imeripotiwa kuwa wagonjwa wengi wanao pokea matibabu ya virusi vya Ebola, katika Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo wana kufia katika vituo vya matibabu.