SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilieergisteren · 14 min

Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu Albanese, atumia hotuba yake kwenye mkutano wa APEC kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa Rais wa Urusi

Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu Albanese, atumia hotuba yake kwenye mkutano wa APEC kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa Rais wa Urusieergisteren14 min

Waziri Mkuu Anthony Albanese, ametumia hotuba yake kwenye mkutano wa kilele wa APEC, kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusu vita nchini Ukraine.