SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili5 dagen geleden · 10 min

Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN?

Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN?5 dagen geleden10 min

Mkutano wa viongozi wa nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) ulianza jana Jumatatu na tamati yake ni leo Jumanne, muda mfupi baada ya mkutano wa kilele wa COP31 na kabla ya mkutano wa APEC baadaye wiki hii.