SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili5 dagen geleden · 14 min

Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi"

Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi"5 dagen geleden14 min

Waziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama cha Labor, wala hata badili msimamo kuhusu mabadiliko aliyopendekeza.