
← SBS Swahili - SBS Swahili10 nov · 14 min
Taarifa ya Habari:Msuluhishi wa malalamishi atoa tahadhari kwa wanao lengwa na makampuni yasiyo na leseni kuhusu kuhamisha fedha zao zakustaafu
Taarifa ya Habari:Msuluhishi wa malalamishi atoa tahadhari kwa wanao lengwa na makampuni yasiyo na leseni kuhusu kuhamisha fedha zao zakustaafu
Waaustralia wanahimizwa kuwa waangalifu kuhusu kupokea ushauri wa kifedha kutoka kwa matangazo au watu wanaowapigia simu bila idhini wakiwataka wabadilishe wanako hifadhi fedha zaku staafu.