
← SBS Swahili - SBS SwahiliNuevo · 7 min
Yaliyojiri Afrika: Rais wa Kenya na DRC wajadiliana kuhusu ushirikiano wa kikanda
Yaliyojiri Afrika: Rais wa Kenya na DRC wajadiliana kuhusu ushirikiano wa kikanda
Mkutano uliowaleta pamoja Rais wa Kenya William Ruto na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, pamoja na rais wa Togo Faure Gnansigbe chini ya mwenyeji wao rais wa Congo Brazzaville Denis Sasou Nguesso, ulitamatika hapo jana Mjini Oyo, ambapo viongozi hao walijadiliana kuhusu masuala ya ushirikiano wa kikanda na maslahi ya pamoja.