SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS SwahiliNieuw · 7 min

Yaliyojiri Afrika: Rais wa Kenya na DRC wajadiliana kuhusu ushirikiano wa kikanda

Yaliyojiri Afrika: Rais wa Kenya na DRC wajadiliana kuhusu ushirikiano wa kikandaNieuw7 min

Mkutano uliowaleta pamoja Rais wa Kenya William Ruto na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, pamoja na rais wa Togo Faure Gnansigbe chini ya mwenyeji wao rais wa Congo Brazzaville Denis Sasou Nguesso, ulitamatika hapo jana Mjini Oyo, ambapo viongozi hao walijadiliana kuhusu masuala ya ushirikiano wa kikanda na maslahi ya pamoja.