SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS SwahiliNouveau · 16 min

Taarifa ya Habari:Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba leo

Taarifa ya Habari:Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba leoNouveau16 min

Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, anatarajiwa kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba muhimu kuhusu sera za mambo ya nje leo. Seneta Wong atahoji kuwa kuachana na ushirikiano huo kutaiacha Australia katika hatari kubwa zaidi, huku ushindani kati ya mataifa makubwa duniani ukizidi kuongezeka.