
← SBS Swahili - SBS SwahiliNieuw · 16 min
Taarifa ya Habari:Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba leo
Taarifa ya Habari:Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba leo
Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, anatarajiwa kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba muhimu kuhusu sera za mambo ya nje leo. Seneta Wong atahoji kuwa kuachana na ushirikiano huo kutaiacha Australia katika hatari kubwa zaidi, huku ushindani kati ya mataifa makubwa duniani ukizidi kuongezeka.